Miguel Ángel Gamondi atajwa kumrithi Nabi Yanga - EDUSPORTSTZ

Latest

Miguel Ángel Gamondi atajwa kumrithi Nabi Yanga

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

 Baada ya kuondoka kwa aliyekuwa Kocha Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi, klabu hiyo imeanza mazungumzo ya mkataba na Miguel Ángel Gamondi.


Miguel ni raia wa Argentina ambaye kwa sasa anayekinoa kikosi cha Ittihad Tanger ya mchimi (Morocco).


Kocha huyo ana uzoefu mkubwa na soka la Afrika kwani kashawahi kuwa kocha mkuu katika klabu za Mamelodi Sundowns, USM Alger, Wydad Casablanca, Platinum Stars na CR Belouzidad kwa nyakati tofauti.


Gamondi pia kashawahi kuwa kocha msaidizi timu ya taifa ya Burkina Faso na Esperance Sportive de Tunis.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz