Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA
Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Kamwe amesema wiki hiyo ya kwanza mwezi Julai pia itasheheni matukio makubwa akiwataka Wanachama na Mashabiki wa Yanga wakae tayari
"Baada ya kumaliza Mkutano Mkuu, wiki ijayo itakuwa ya moto kwani tutakuwa na matukio makubwa kwa ajili ya klabu yetu"
"Tutafanya uzinduzi wa jezi zetu mpya kwa ajili ya msimu wa 2023/24 na pia kuna mikataba ya udhamini tutasaini kabla ya kuanza zoezi la kushusha vyuma"
"Wiki hii tutakamilisha zoezi la kuagana na wachezaji ambao tulikuwa nao msimu uliopita lakini hatutaendelea nao," alisema Kamwe
Dirisha la usajili linatarajiwa kufunguliwa kesho Julai 01 na kufungwa August 31
Post a Comment