TETESI: Simba kushusha Mbrazil nafasi ya Manula - EDUSPORTSTZ

Latest

TETESI: Simba kushusha Mbrazil nafasi ya Manula

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

 Msimu ujao pale langoni Simba kitasimama chuma cha Kibrazil Caique Luiz Santos da Purificacao (25).


Kama mipango itaenda sawa basi kipa huyo ndiye atakayechukua nafasi ya Aishi Manula ambaye vipimo vinaonyesha atachelewa kurejea.


Manula alipata majeraha yaliyompelekea kufanyiwa upasuaji huku Mlinda mlango namba mbili Beno Kakolanya akioneshwa mlango wa kutokea baada ya Mkataba wake kumalizika.


Kwa sasa Simba imebakiwa na mlinda mlango Ally Salim pekee.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz