Stars kamili kuikabili Niger - EDUSPORTSTZ

Latest

Stars kamili kuikabili Niger

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

 Kesho Jumapili Juni 18 katika uwanja wa Benjamin Mkapa, Tanzania tuna jambo letu la kuwania tiketi ya kufuzu michuano ya Afcon 2023


Ni mchezo dhidi ya Niger ambao Tanzania inazihitaji alama zote tatu ili kuweka hai matumaini ya kufuzu kwa michuano hiyo itakayofanyika Ivory Coast mwanzoni mwa mwaka 2024


Shirikisho la Mpira wa Miguu (TFF) limeweka hadharani viingilio vya mchezo huo utakaopigwa saa 10 jioni


Mzunguuko ni Tsh 3,000/- tu wakati VIP B na C ni Tsh 10,000/-


Twendeni tukaipe sapoti timu yetu ya TaifaDownload our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz