Singida Fountain Gate wazima tetesi za Yanga wampa mkataba mpya Kagoma - EDUSPORTSTZ

Latest

Singida Fountain Gate wazima tetesi za Yanga wampa mkataba mpya Kagoma

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

 Klabu ya Singida Fountain Gate imemuongezea mkataba wake kiungo Yusuph Kagoma ambao utamuweka kwenye timu hiyo hadi mwaka 2026.


Klabu ya Singida Fountain Gate imemuongezea mkataba wake kiungo Yusuph Kagoma ambao utamuweka kwenye timu hiyo hadi mwaka 2026. Singida imeanza mchakato wa kuwazuia nyota wake kwa ajili ya kujipanga na msimu ujao ambapo watakuwa na kibarua katika michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz