Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA
Simba SC wameendelea 'kupiga panga' benchi lake la ufundi ambapo sasa wametangaza kuachana na aliyekuwa Kocha wa Viungo, Kelvin Mandla.
Kabya ya kutangaza kuachana na Mandla, Wekundu hao wa Msimbazi walitangaza kuachana na alieykuwa Kocha wa Makipa, Chlouha Zakaria, raia wa Morocco.
Kupitia ukurasa wao wa Instagram, Simba wameandika:
"Asante kwa Kelvin Mandla ambaye alikuwa kocha wetu wa viungo. Tunakushukuru kwa muda wote uliokuwa nasi."
No comments:
Post a Comment