Simba yaachana na mchezaji mwingine tena - EDUSPORTSTZ

Latest

Simba yaachana na mchezaji mwingine tena

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

 Uongozi wa Klabu ya Simba SC umetangaza kuachana na mlinzi wa Kati Mohammed Outtara raia wa Ivory Coast.


Outtara alisajiliwa na Simba SC Julai 2022 kutoka Al Hilal ya Sudan kwa Mkataba wa mwaka mmoja wenye kipengele cha kuongeza mwaka mwingine.


Kuondoka kwa Outtara nis sehemu ya marekebisho ya kikosi cha Simba SC yanayofanywa kuelekea msimu ujao 2023/24.


Outtara anakuwa mchezaji wa tatu kuachwa na Simba baada ya Augustine Okrah na Victor Akpan.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz