Nabi apigwa Chini Kaizer Chiefs, Timu yakabidhiwa kwa kocha huyu

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 Aliyekuwa Kocha Mkuu wa Yanga Nasreddine Nabi hatajiunga na Kaizer Chiefs kama ilivyotaarifiwa awali baada ya timu hiyo kumtangaza Molefi Ntseki


Nabi na Wawakilishi wake walikuwa kwenye majadiliano ya muda mrefu na Chiefs ukiibuka mvutano kuhusu benchi la ufundi


Nabi alihitaji kujiunga na Cheifs akiwa na angalau na watu wawili kutoka kwenye benchi la ufundi alilokuwa nalo Yanga


Hata hivyo Chiefs waligomea mpango huo, wakimuhitaji Nabi pekee kuungana nao


Ni rasmi sasa hatajiunga nao, tutarajie kumuona katika klabu nyingine

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post