Mayele, Sakho, Banda lolote linaweza kutokea - EDUSPORTSTZ

Latest

Mayele, Sakho, Banda lolote linaweza kutokea

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

 Fiston Mayele bado ana mkataba wa mwaka mmoja na Yanga ila ana ofa mbili nje, bado hawajafikia makubaliano kama ataongeza mkataba mwingine au ataondoka.


Pape Sakho kuna timu ya Ubelgiji inamuhitaji baada ya kuitwa timu ya Taifa Senegal Biashara inaweza kufanyika ila Simba hawajapokea ofa yoyote.


Peter Banda wakala wake wanataka avunjiwe mkataba kutokana na mteja wao kutaka nafasi ya kucheza zaidi Simba. Kuna nafasi kubwa kwa Simba kubakiza kwani bado wana mahitaji nae.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz