Ligi Kuu NBC inafika tamati leo Zitazame Live hapa - EDUSPORTSTZ

Latest

Ligi Kuu NBC inafika tamati leo Zitazame Live hapa

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 Ligi Kuu ya NBC 2022/23 inafika tamati leo kwa timu zote 16 kushuka viwanjani majira ya saa 9:30 Alasiri


Tayari timu nne za juu ya msimamo na timu mbili za chini ya msimamo zimefahamika


Yanga, Simba, Azam Fc na Singida BS zimejihakikishia kumaliza nafasi nne za juu ambapo Yanga watakabidhiwa ubingwa baada ya mchezo dhidi ya Tanzania Prisons


Polisi Tanzania na Ruvu Shooting zimemaliza nafasi mbili za chini na hivyo zimeshuka daraja moja kwa moja


Hatma ya timu mbili zinazokwenda kucheza play-off itafahamika baada ya mechi za leo


Mbeya City na KMC zitachuana katika mchezo ambao utaamua kama zote zitacheza play-off au mshindi atanusurika?


Mtibwa Sugar nayo itahitaji kushinda dhidi ya Geita Gold ili kujihakikishia usalama wakati Coastal Union ambayo iko ugenini uwanja wa Uhuru dhidi ya Simba nayo iahitaji ushindi au alama moja ili kuwa salama

Mechi zote zitakuwa LIVE kwenye app yetu bofya hapa kuidownload buree ( app haipo play store )



Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz