Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Hispani wamefanikiwa kutwaa ubingwa wa UEFA Nations League kwa ushindi wa penalti 5-4 dhidi ya Croatia baada ya sare ya bila kufungana, 0-0 usiku wa jana Uwanja wa Feijenoord Jijini Rotterdam nchini Uholanzi.
Hispani wamefanikiwa kutwaa ubingwa wa UEFA Nations League kwa ushindi wa penalti 5-4 dhidi ya Croatia baada ya sare ya bila kufungana, 0-0 usiku wa jana Uwanja wa Feijenoord Jijini Rotterdam nchini Uholanzi. Waliofunga penalti za Hispania ni Joselu, Rodri, Mikel Merino, Marco Asensio na Dani Carvajal, huku Aymeric Laporte akikosa wakati za Croatia zilifungwa na Nikola Vlašić, Marcelo Brozović, Luka Modrić na Ivan Perišić huku Lovro Majer na Bruno Petković wakikosa.
Post a Comment