Haya hapa matokeo ya Mbeya city vs Mashujaa leo - EDUSPORTSTZ

Latest

Haya hapa matokeo ya Mbeya city vs Mashujaa leo

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

 Mbeya City wamelazimika kushuka daraja baada ya kupokea kipigo cha goli 1-0 na Mashujaa FC.


Mbeya City walikuwa nyumbani kumalizia mchezo wa pili wa play off baada ya mchezo wa awali kumalizika kwa Mashujaa kuibuka na ushindi wa 3-1.


Goli la Mbeya City lilifungwa dakika za jioni kabisa baada Mashujaa kukaza vilivyo na kuzuia mashambulizi mengi ambayo hayakuzaa matunda.



Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz