Dili la Simon Msuva kutua simba, Yanga waarabu waingilia kati - EDUSPORTSTZ

Latest

Dili la Simon Msuva kutua simba, Yanga waarabu waingilia kati

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

 Miamba ya soka Tanzania Simba, Yanga na Azam FC inawezakuwa na wakati mgumu kwa mara nyingine tena kupata saini ya mshambuliaji wa kimataifa wa Taifa Stars, Simon Msuva kutokana na kufuru ya pesa iliyoonyeshwa na Al Duhail ambayo anicheza Mkenya MIchael Olunga huko Qatar.


Mabingwa hao wa Lgi Kuu Qatarm inaelezwa wapo tayari kumfanya mshambuliaji huyo ambaye alikuwa akichezea Al Qadsiah FC ya Ligi Daraja la Kwanza Saudi Arabia kuwa mopja ya wachezaji ghali kwenye kikosi hicho.


Kwamujibu wa viwango vya malipo ya mshahara ya wachezaji wa Al Duhal miongoni mwa wachezaji wanavuta mkwanja mrefu ni pamaoja na Edmilson Junior ambaye aliwahi kutamba Ubelgiji akiwa na Standard Liege, anakusanya Pound 81,000 ( zaidi ya Sh247.9 milioni)


Kiwango ambacho Al Duhal unataka kumpa Msuva kwa mwezi ni mara tano ya kile ambacho alikuwa akilipwa Al Qadsiah FC ambao nao wanapamabana kuhakikisha mshambuliaji huyo anasalia kwenya Klabu hiyo.


Msimu licha ya ugeni wake huko Saudi Arabia Msuva aliibuka kuwa mfungaji bora wa Al Qadsiah na amethibitisha uwepo wa ofa kwenye mataifa ya China, Saudi Arabia na Qatar "Zipo timu ambazo zimeeonyesha nia ya kutaka kunisajili, tusubiri tuone nini ambacho kitatokea, mkataba wangu ukishamalizikaDownload our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz