Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA
Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Wakati huu ambao ligi zimemalizika wachezaji wako mapumziko. Hapa Tanzania tumeona wachezaji wakiandaa mechi mbalimbali za hisani kuchangisha fedha kwa ajili ya kusaidia jamii zao
Mechi kama hiyo itapigwa huko Zambia leo ikiandaliwa na kiungo wa Simba Clatous Chama na kiungo wa Amazulu Rally Bwalya
Kabla ya kutimkia Afrika Kusini Rally aliitumikia Simba kwa misimu mitatu, kikosi chake kitachuana na kikosi cha Chama
Huu ni utaratibu mzuri kwa wachezaji kurejesha katika jamii zao na kutatua baadhi ya matatizo
Post a Comment