Breaking: Yanga yamtangaza kocha Mpya huyu hapa - EDUSPORTSTZ

Latest

Breaking: Yanga yamtangaza kocha Mpya huyu hapa

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 Mrithi wa Nasreddine Nabi ni Miguel Gamondi raia wa Algentina, klabu ya Yanga imemtangaza leo katika Mkutano Mkuu wa Wanachama


Gamondi anatua Yanga akiwa na uzoefu mkubwa katika soka la Afrika 


Amewahi kuzifundisha Wydad Athletic, Esperance, Asec Mimosas na Mamelodi Sundowns


Afisa Habari wa Yanga Ali Kamwe amesema Yanga imeweka malengo makubwa msimu ujao katika michuano ya ligi ya mabingwa barani AfrikaDownload our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz