Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA
Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Winga wa Yanga, Dickson Ambundo imeelezwa anaweza akarejea tena Dodoma Jiji kutokana na kukosa namba ndani ya kikosi hicho, ambapo Jesus Moloko anaonekana kuwa kwenye kiwango cha juu.
Habari za ndani zinasema tayari uongozi wa Dodoma Jiji umeanza kufanya mazungumzo na mchezaji huyo na kama mambo yakienda sawa basi msimu ujao atakuwa sehemu ya kikosi chao.
"Ni mchezaji mzuri sana, ndani ya kikosi cha Yanga kuna ushindani mkali hivyo kutocheza mara kwa mara kunamfanya aonekane ameshuka kiwango," alisema mmoja wa kiongozi wa Dodoma Jiji.
Post a Comment