Yanga yalimwa faini na CAF Kisa jambo hili - EDUSPORTSTZ

Latest

Yanga yalimwa faini na CAF Kisa jambo hili

Ofa ya Bando la Internet wiki BURE Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

 Klabu ya Yanga imepigwa faini ya Dola 10,000 kufuatia mashabiki wake kupiga fataki kwenye mchezo wa mkondo wa pili robo fainali ya kombe la Shirikisho dhidi ya Rivers United uliopigwa uwanja wa Benjamin Mkapa April 30


Kulingana na barua ya CAF, Yanga pia imepigwa faini ya dola 25,000 kwa tukio la basi la klabu ya Rivers United kuvamiwa na kuibiwa wakati timu hiyo ilipokuwa uwanja wa Benjamin Mkapa kwa ajili ya mazoezi ya mwisho


Yanga imeagizwa kuhakikisha usalama wa wapinzani wao (Malumo Gallants) kuelekea mchezo wa nusu fainali ambao utapigwa May 10 2023

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz