Ofa ya Bando la Internet wiki BURE Bonyeza HAPA
Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Simba imeondoshwa michuano ya kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) baada ya kukubali kipigo cha mabao 2-1 kutoka kwa Azam Fc
Mwaikenda na Prince Dube walifunga mabao ya Azam Fc wakati Sadio Kanoute akifunga bao pekee la Simba
Simba ilikuwa bora kwenye kipindi cha kwanza na pengine ilistahili kufunga zaidi ya mabao mawili kwa nafasi za wazi alizokosa Clatous Chama
Sio matokeo mazuri kwa Simba kwani ni wazi ni msimu wa pili mfululizo Simba inamaliza msimu pasipo kushinda taji lolote
Post a Comment