Ofa ya Bando la Internet wiki BURE Bonyeza HAPA
Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Za ndani kabisa! Klabu ya Yanga SC imepeleka ofa rasmi ya kuhitaji huduma ya mshambuliaji wa kimataifa Raia wa Congo anayekipiga Al-Hilal ya Sudani ili kuongeza nguvu katika msimu ujao.
Yanga SC inatumia nafasi hii ya machafuko ya kisiasa nchini humo ili kumnasa mchezaji huyo ambae mpaka sasa Ligi ya Sudan imasimama kufuatia vita ya ndani.
Makabi Lilepo ni moja kati ya washambuliaji kinara wa Klabu hiyo katika michuano yote waliyoshiriki huku akichangia asilimia kubwa ya magoli katika michuano ya Klabu Bingwa Afrika licha ya kutolewa katika hatua ya makundi.
Post a Comment