Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Kituo maarufu Duniani cha TV cha France CANAL SPORTS+ kimetangaza kuwa kitauonesha mchezo wa nusu fainali CAFCC, Yanga dhidi ya Marumo Gallants.
Mechi ya kwanza itachezwa saa 10:00 jioni katika Dimba la Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam Jumatano Mei 10, 2023. Mechi ya pili itachezwa saa 1 Jioni Nchini Afrika, Mei 17.
Kikosi cha Marumo Gallants tayari kimeshawasili leo alfajiri baada ya kukwama kuwasili jana kutokana na changamoto za usafiri.
No comments:
Post a Comment