Simba kuajiri bosi idara ya usajiri wa wachezaji - EDUSPORTSTZ

Latest

Simba kuajiri bosi idara ya usajiri wa wachezaji

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

 Baada ya kipindi cha miaka miwili klabu ya Simba kushindwa kusajili wachezaji bora wanaoendana na ukubwa wa Simba.


Imearifiwa kuwa, Mwekezaji wa timu hiyo, Mo Dewji amekubali mpango wa kuajiriwa kwa mkuu wa kitengo cha kusajili wachezaji.


Pia, imefahamika mtu huyo atakaekuja kwa kazi hiyo siyo mwafrika kuna uwezekano mkubwa mtu huyo akatoka uholanzi au Spain.


Atafanya kazi kwa ukaribu na kocha na timu yake ya ufundi kabla ya kufanya usajili wowote, hakuna tena mwingiliano wa bodi katika usajili.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz