Juventus wapokonywa alama 10 - EDUSPORTSTZ

Latest

Juventus wapokonywa alama 10

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

 Juventus wamepokonywa pointi 10 kwenye Serie A kufuatia uamuzi wa Mahakama ya Rufaa ya Shirikisho baada ya kashfa yao ya hivi majuzi ya kifedha.


Kwa hali ilivyo, sasa wako nafasi ya 7 kwenye Serie A na wameanguka nje ya eneo la Uropa.


Miezi michache iliyopita Juventus walipokwa alama 15 lakini walishinda rufaa dhidi ya adhabu hiyo na sasa wamekutana na adhabu nyingineDownload our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz