Saido awakalisha Chama, Mayele Ligi Kuu - EDUSPORTSTZ

Latest

Saido awakalisha Chama, Mayele Ligi Kuu

Ofa ya Bando la Internet wiki BURE Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

 Wakati Mayele akiongoza kwenye chati ya wafumania nyavu Ligi Kuu ya NBC akipachika mabao 16 mpaka sasa.


Kiungo wa Simba, Mzambia Clatous Chama anaongoza orodha ya watoa pasi za mwisho Ligi Kuu ya NBC akiwa na Assist zake 14.


Licha ya takwimu zao wachezaji wote hao wanasubiri kwa Kiungo wa Simba, Mrundi Saidi Ntibazonkiza ndio mchezaji aliehusika katika magoli mengi Ligi Kuu ya NBC mpaka sasa.


Saido amefunga mabao 10 na kutoa pasi 10 za mabao na kumfanya kuwa mchezaji aliehusika katika mabao mengi kuliko yoyote mpaka sasa, akiwa amehusika katika mabao 20, Fiston Mayele wa Yanga amehusika katika mabao 18 (magoli 16 Asisti 2) wakati Chama amehusika katika mabao 18 (magoli 3 Assist 14)Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz