Rashford amsaidia Staa wa Man United aliefilisika - EDUSPORTSTZ

Latest

Rashford amsaidia Staa wa Man United aliefilisika

Ofa ya Bando la Internet wiki BURE Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

 Staa wa Manchester United, Marcus Rashford ameripotiwa kumpangisha kwa gharama za chini beki Wes Brown baada ya kuripotiwa kufirisika. Brown, 43, aliyewahi kuichezea Man United ametangazwa mufilisi baada ya kuwa na deni kubwa la kodi na kampuni za magari.


Staa wa Manchester United, Marcus Rashford ameripotiwa kumpangisha kwa gharama za chini beki Wes Brown baada ya kuripotiwa kufirisika. Brown, 43, aliyewahi kuichezea Man United ametangazwa mufilisi baada ya kuwa na deni kubwa la kodi na kampuni za magari. Ukiweka kando msaada wa makazi ambao Rashford ameutoa, wachezaji wengine wa zamani wa Man United, ambao wamekuwa wakimpa sapoti Brown ni Wayne Rooney na Michael Carrick.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz