Diarra kipa bora ligi kuu NBC 2023/2024 - EDUSPORTSTZ

Latest

Diarra kipa bora ligi kuu NBC 2023/2024

Ofa ya Bando la Internet wiki BURE Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

 Mlinda lango wa Yanga Djigui Diarra amebeba tuzo ya mlinda lango bora ligi kuu ya NBC kwa msimu wa pili mfululizo baada ya kuondoka na cleansheet katika ushindi wa mabao 2-0 ambao Yanga wameupata dhidi ya Singida BS


Diarra amefikisha cleansheet 16 ambazo hakuna mlinda lango mwingine anaweza kuzifikia zikiwa zimesalia mechi tatu tu msimu kumalizika


Diarra amejihakikishia tuzo hiyo kwa msimu wa pili mfululizo, msimu uliopita aliondoka nayo piaDownload our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz