Nyota wanne Liverpool waoneshwa mlango wa kutokea

Ofa ya Bando la Internet wiki BURE Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

 Klabu ya Liverpool imethibitisha kuwa Roberto Firmino, James Milner, Alex Oxlade-Chamberlain na Naby Keita wataondoka katika klabu hiyo mwishoni mwa msimu huu.


Liverpool inatazamiwa kusajili nyota wapya watakaokuja kuziba nafasi za wachezaji wanaoondoka na tayari kuna baadhi ya majina yameanza kuhusishwa.


Jurgen Klopp anataka kukisuka kikosi chake upya baada ya kufanya vibaya msimu huu tofauti na matarajio ya wengi.

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post