Nottigham waipa Ubingwa Manchester City EPL - EDUSPORTSTZ

Latest

Nottigham waipa Ubingwa Manchester City EPL

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

 Timu ya Manchester City imefanikiwa kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya England kwa mara ya tatu mfululizo baada ya Arsenal jana kuchapwa 1-0 na Nottingham Forest Uwanja wa The City Ground, Nottingham, Nottinghamshire.


Bao pekee la Nottingham Forest lilifungwa na mshambuliaji Mnigeria, Taiwo Micheal Awoniyi dakika ya 19 na sasa Manchester City ni mabingwa kwa sababu pointi zao 85 katika mechi 35 haziwezi tena kufikiwa na timu yoyote.


Nottingham Forest wanafikisha pointi 37 katika mchezo wa 37, ingawa wanabaki nafasi ya 16, wakati Arsenal inabaki na pointi zake 81 za mechi 37 nafasi ya pili, ambako hakuna wa kuwapita kutoka chini.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz