Firmino ainusuru Liverpool na kichapo Anfield - EDUSPORTSTZ

Latest

Firmino ainusuru Liverpool na kichapo Anfield

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

 Wenyeji, Liverpool wameambulia sare ya kufungana bao 1-1 na Aston Villa katika mchezo wa Ligi Kuu ya England jana Jumamosi Uwanja wa Anfield, Liverpool.


Jacob Ramsey alianza kuifungia Aston Villa dakika ya 27, kabla ya Roberto Firmino kuisawazisha Liverpool dakika ya 89.


Liverpool wanafikisha pointi 66 katika mchezo wa 37, ingawa wanabaki nafasi ya tano wakizidiwa pointi tatu na Manchester United ambao pia wana mechi moja mkononi, wakati Aston Villa inafikisha pointi 58 za mechi 37 nafasi ya saba.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz