Mkuu wa mkoa Dar atoa tiketi 1000 - EDUSPORTSTZ

Latest

Mkuu wa mkoa Dar atoa tiketi 1000

 

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

Kuelekea mchezo wa mkondo wa kwanza fainali kombe la Shirikisho barani Afrika dhidi ya USM Alger ambao utapigwa Jumapili May 28 katika uwanja wa Benjamin Mkapa, wadau mbalimbali wameendelea kuunga mkono juhudi za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk Samia Suluhu Hassan ambaye alitoa tiketi 5,000 kwa ajili ya kuongeza hamasa


Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mh Albert Chalamila ameunga mkono hamasa ya Rais Dk Samia kwa kununua tiketi 1000


Wadau wengine waliotoa tiketi ni pamoja na benki ya CRDB iliyotoa tiketi 5000


Mpaka sasa zaidi ya tiketi 22,000 zimetolewa na wadau mbalimbaliDownload our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz