Aucho afunguka jina lake kukosa kwenye tuzo za Tff - EDUSPORTSTZ

Latest

Aucho afunguka jina lake kukosa kwenye tuzo za Tff

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

 Baada ya kukosekana kwenye tuzo za Ligi Kuu Bara msimu wa 2022/23 ikiwemo tuzo ya Kiungo Bora wa msimu.


Kwa mara ya kwanza Kiungo wa Yanga Khalid Aucho amefunguka kuhusiana na tuzo hizo huku akisema kuwa Tuzo kwake sio kipaumbele.


Akizungumza Aucho anasema;


“Baada ya orodha ya wachezaji wanaowania tuzo za msimu huu kutoka mambo yamekuwa mengi nimezungumza na viongozi kuwaeleza kuwa hilo lisitutoe mchezoni, tuzingatie fainali mbili zilizo mbele yetu. Mimi nimefuata mataji siyo tuzo,”Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz