Metacha mnata mbioni kusaini mkataba mpya Yanga - EDUSPORTSTZ

Latest

Metacha mnata mbioni kusaini mkataba mpya Yanga

Ofa ya Bando la Internet wiki BURE Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

 Mlinda lango wa Yanga Metacha Mnata yuko mbioni kusaini mkataba kuendelea kuitumikia Yanga


Metacha alijiunga na Yanga kwenye dirisha dogo la usajili kwa mkopo akitokea klabu ya SIngida Big Stars


Mkataba wake na Singida BS unamalizika mwishoni mwa mwezi huu na Yanga tayari imemuandalia mkataba wa muda mrefu


Baada ya kuonyesha kiwango bora tangu ajiunge na Yanga Metacha amewashawishi mabosi wa Yanga huku pia akirejesha imani ya Wananchi aliyokuwa ameipoteza


Ni wazi Yanga haitamuongezea mkataba mlinda lango namba tatu Erick Johora na nafasi nyake itachukuliwa na MetachaDownload our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz