Mbeya city yaigaragaza Geita gold - EDUSPORTSTZ

Latest

Mbeya city yaigaragaza Geita gold

Ofa ya Bando la Internet wiki BURE Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

 Mbeya City imeondoka kwenye eneo la play-off baada ya ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Geita Gold


Bao la George Sangija liliihakikishia Mbeya City kupata ushindi muhimu uwanja wa Nyankumbu huko Geita na kufikisha alama 30


Mbeya City wamepanda mpaka nafasi ya 12 wakiishusha KMC yenye alama 29 katika eneo la play-off


Ruvu Shooting imekuwa timu ya kwanza kushuka daraja huku Polisi Tanzania ikiwa katika hatari, alama 22 kwenye nafasi ya 15


Polisi Tanzania wanahitaji kushinda mechi zote tatu zilizobaki huku ikiomba wapinzani wake wasipate matokeo mazuri katika mechi zaoDownload our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz