Bodi ya Ligi Kuu yaipongeza Yanga baada ya kutwaa ubingwa - EDUSPORTSTZ

Latest

Bodi ya Ligi Kuu yaipongeza Yanga baada ya kutwaa ubingwa

Ofa ya Bando la Internet wiki BURE Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 Bodi ya Ligi Kuu imeipongeza klabu ya Yanga kwa kutwaa ubingwa wa ligi kuu ya NBC kwa msimu wa 2022/23


Yanga imetwaa ubingwa huo baada ya kuichapa Dodoma Jiji mabao 4-2 katika mchezo uliopigwa uwanja wa Azam Complex na kufikisha alama 74 ambazo haziwezi kufikiwa na timu yoyote kwenye ligi


Ni msimu wa pili mfululizo Yanga inafanikiwa kutwaa ubingwa
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz