Matokeo Singida big star vs Yanga leo Jumapili kombe la FA - EDUSPORTSTZ

Latest

Matokeo Singida big star vs Yanga leo Jumapili kombe la FA

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

 Yanga imetinga fainali ya kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) baada ya ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Singida BS katika mchezo wa nusu fainali uliopigwa uwanja wa LITI


Fiston Mayele alihitaji dakika 15 kuwa uwanjani na kuipeleka Yanga fainali kwa bao muhimu


Kocha Mkuu wa Yanga Nasreddine Nabi alifanya mabadiliko ya kikosi chake akiwapumzisha nyota wake muhimu kwa ajili ya fainali ya Shirikisho CAF


Fainali sasa ni kati ya Yanga dhidi ya Azam Fc na itapigwa uwanja wa Mkwakwani mkoani TangaDownload our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz