Matokeo Real madrid vs Man city hapo jana - EDUSPORTSTZ

Latest

Matokeo Real madrid vs Man city hapo janaOfa ya Bando la Internet wiki BURE Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 Mabingwa watetezi wa taji la Ligi ya Mabingwa, Real Madrid wamelazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 na Manchester City katika mchezo wa kwanza wa Nusu Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Jumanne Uwanja wa Santiago Bernabéu Jijini Madrid, Hispania.


Ni wenyeji, Real Madrid waliotangulia kwa bao la nyota wake Mbrazil, Vinícius Júnior dakika ya 36 akimalizia pasi ya Mfaransa mzaliwa wa Angola, Eduardo Camavinga, kabla ya Mbelgiji Kevin De Bruyne kuisawazishia Man City dakika ya 67 akimalizia pasi ya Mjerumani İlkay Gündoğan.


Timu hizo zitarudiana Mei 17 Uwanja wa Etihad Jijini Manchester, England na mshindi wa jumla atakutana na mshindi wa jumla katí ya AC Milan na Inter Milan za Italia.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz