Matokeo Asec Mimosas vs USM Alger - EDUSPORTSTZ

Latest

Matokeo Asec Mimosas vs USM Alger

Ofa ya Bando la Internet wiki BURE Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 Mchezo wa nusu fainali ya pili ya mkondo wa kwanza wa Mombe la Shirikisho Afrika kati ya wenyeji Asec Mimosas ya Ivory Coast dhidi ya USM Alger ya Algeria umemalizika kwa sare ya bila kufungana.


USM Alger wakiwa ugenini wameondoka Ivory Coast wakiwa na faida ya kutokufungwa kuelekea mchezo wa marudiano wiki ijayo huko Algeria. 


Full Time: ASEC 0 - 0 USM ALGER 


11 (3) ... Shots ... (0) 03 


65% .... Possession ..... 35%


485 .......Passes ....... 266 


Imumbukwe kuwa, mshindi kati ya ASEC na USM atakutana na mshindi kati ya Yanga na Marumo Gallants ambapo mchezo wa leo Yanga imeibuka na ushindi wa bao 2-0 katika Dimba la Mkapa. 


Mkondo wa pili(second leg)mechi zitachezwa Jumatano ijayo, tarehe 17 ya mwezi huu. 


Timu zipi unazipa nafasi kubwa kuingia fainali?Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz