Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Baada ya kipindi kigumu cha majonzi kwa Wanasimba, Wekundu wa Msimbazi wanarejea dimbani leo katika mchezo wa ligi kuu ya NBC wakiwakabili Ruvu Shooting katika mchezo utakaopigwa uwanja wa Azam Complex, saa 1 usiku
Hii ni moja kati ya mechi zilizosalia kwa Simba kuhitimisha msimu huu wa mashindano Simba ikiweka malengo ya kushinda mechi zote
Wachezaji wa Simba wameahidi kutumia mechi hizi zilizosalia kuwapa burudani mashabiki wao kwa kupata ushindi mnono
Kocha Mkuu wa Simba Robertinho Oliveira amesema kwa ukubwa wa Simba, wanapaswa kushinda kila mechi inayokuja mbele yao
Amesema Wanasimba leo watapata burudani kutoka kwa timu yao ikiambatana na ushindi Mechi itakuwa LIVE kwenye app yetu bofya hapa kuidownload
Post a Comment