LIVE: Namungo vs Simba Itazame hapa - EDUSPORTSTZ

Latest

LIVE: Namungo vs Simba Itazame hapa

Ofa ya Bando la Internet wiki BURE Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

 Ligi Kuu ya NBC inaelekea mwisho ambapo leo mchezo mmoja wa kiporo kati ya Namungo Fc dhidi ya Simba itapigwa katika uwanja wa Majaliwa, Ruangwa


Ni mchezo unaotarajiwa kuwa na upinzani mkali kutokana na kila timu kuwa na malengo tofauti


Wenyeji Namungo Fc wanawania kumaliza katika nafasi ya tano kwenye msimamo wa Ligi ili kuvuna mamilioni ya wadhamini Azam Media wakati Simba bado iko kwenye mbio za ubingwa wa ligi kuu


Baada ya kuondoshwa kwenye michuano ya ligi ya mabingwa, Simba imebaki na mashindano mawili ya ndani ambayo ni Ligi Kuu na FA


Ushindi katika mchezo dhidi ya Namungo leo utawafanya wapunguze gap la pointi dhidi ya watani zao Yanga kuwa mbili kabla ya mchezo wa Singida BS dhidi ya Yanga ambao utapigwa huko Singida Alhamisi


Baada ya mchezo huo, Simba itaelekea Mtwara inakokabiliwa na mchezo wa nusu fainali kombe la Shirikisho la Azam dhidi ya Azam Fc ambao utapigwa Jumapili, May 07


Mchezo kati ya Namungo dhidi ya Simba leo utapigwa saa 1 usiku Mechi itakuwa live kwenye App yetu bofya hapa kuidownload sasaDownload our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz