Kocha Napoli apagawa na ubingwa - EDUSPORTSTZ

Latest

Kocha Napoli apagawa na ubingwa

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

 Kocha wa mabingwa wa Serie A 2022/23, timu ya Napoli, Luciano Spalletti (64) raia wa Italia amejichora tattoo ya logo ya timu hiyo sambamba na rangi ya taifa la Italia.


Spalletti ameiongoza timu hiyo tangu msimu wa 2021 akitokea Inter Milan ya Italia, miaka miwili baadaye anatwaa Serie A mbele ya wababe, Inter Milan, AC Milan na AS Roma.


Spalletti ni Kocha pekee kuipa ubingwa wa Serie A , SSC Napoli maarufu 'Gli Azzurri' ama 'The Blues' tangu alipofanya hivyo Kocha Alberto Bigon msimu wa 1989/90 timu ikiwa na gwiji hayati Diego Armando Maradona, ambaye baada ya kifo chake mwaka 2020 uwanja wao wa nyumbani ukapewa jina kumuenzi shujaa huyo.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz