Kocha Liverpool afungiwa kwa kauli "chafu" dhidi ya mwamuzi - EDUSPORTSTZ

Latest

Kocha Liverpool afungiwa kwa kauli "chafu" dhidi ya mwamuzi

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

 Kocha wa Liverpool Jurgen Klopp amezuiwa kuingia kwenye touchline katika mchezo wa Jumamosi dhidi ya Aston Villa pamoja na faini ya Pauni 75,000


Kocha wa Liverpool Jurgen Klopp amezuiwa kuingia kwenye touchline katika mchezo wa Jumamosi dhidi ya Aston Villa pamoja na faini ya Pauni 75,000 Hii imetokana na maneno ya shutuma aliyoongea kwenye vyombo vya habari kuhusu mwamuzi Paul Thierney April 30, 2023 baada ya mchezo dhidi ya Tottenham Hotspurs ambapo Liverpool walipata ushindi wa 4-3 nyumbani Anfield.



Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz