Kipa huyu atajwa kumrithi Manula Simba - EDUSPORTSTZ

Latest

Kipa huyu atajwa kumrithi Manula Simba

Ofa ya Bando la Internet wiki BURE Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

 Klabu ya simba kwa sasa imeingia sokoni kutafuta nafasi ya Aish Manula kwa kujikuta wako katika hekaheka moja na klabu ya Singida SBS na Geita Gold katika kuwania Saini ya Golikipa wa Coastal Union.


Justine Ndikumana (30) raia wa Burundi aliyetokea nchini Kenya kuja kutumikia Timu ya Tanzania anamkataba wa miaka miwili na klabu ya Coastal Union kwa sasa. 


Chanzo changu cha habari kinaeleza kuwa Moja wapo ya viongozi waliongea nasi "Ndikumana ni kipa mzuri ambaye amecheza kwa muda mdogo na kuonesha kiwango kikubwa akiwa na Coastal Union" - (Hakupenda Atwaje jina). 


Tangu ajiunge na Coastal Union amecheza michezo 7 ambapo katika michezo hio amefungwa magoli matatu tu tangu acheze klabuni hapo, na mpaka sasa anamiaka 09 tangu aondoke nchini Burundi kutumikia vilabu vya nje ya nchi yake.


Tulipomtafuta Kipa uyo alisema kuwa anaheshimu mkataba wake na Coastal Union kwa sasa hawezi sema kuwa akihitajika ataenda au lah!!! 


Tulipozungumza na semaji la Coastal Union alieleza kuwa kila kitu kinawezekana lakini utaratibu muhimu, uongozi ufatwe taratibu zifatwe pia.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz