Hiki hapa kikosi cha yanga kitakacho anza leo dhidi ya Marumo gallants - EDUSPORTSTZ

Latest

Hiki hapa kikosi cha yanga kitakacho anza leo dhidi ya Marumo gallants

Ofa ya Bando la Internet wiki BURE Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 Wawakilishi wa Tanzania katika Michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika, Timu ya Yanga inashuka dimbani muda mchache kutoka sasa kuikabili Marumo Gallants ya Afrika ya Kusini.


Mchezo huo wa hatua ya Nusu Fainali unapigwa katika Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam huku Yanga wakiwa na matumaini makubwa ya kuibuka na ushindi katika mchezo huo.


Hii ni mara ya kwanza kwa Yanga kufika hatua ya Nusu Fainali na pengine wanaweza andika historia kwa Klabu yao ikiwa watatinga hatua ya Fainali.


Hiki hapa kikosi cha Ynga kinachoanza mchezo wa leo;
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz