Fainali Ligi ya Mabingwa, Shirikisho kupigwa nyumbani na ugenini - EDUSPORTSTZ

Latest

Fainali Ligi ya Mabingwa, Shirikisho kupigwa nyumbani na ugenini

Ofa ya Bando la Internet wiki BURE Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

 Kuanzia msimu huu wa mashindano ya CAF, mechi za fainali ya michuano ya ligi ya mabingwa na kombe la Shirikisho barani Afrika zimerejeshwa katika mtindo wa nyumbani na ugenini


Kwa misimu kadhaa iliyopita, mechi za fainali zilipigwa katika uwanja huru unaopendekezwa kufuata vigezo walivyojiwekea CAF


Hata hivyo baada ya fainali kati ya Al Ahly dhidi ya Wydad iliyopigwa Morocco na Al Ahly kuwasilisha malalamiko yao CAF kupinga mechi ya fainali kupigwa katika moja ya klabu iliyotinga fainali, utaratibu umebadilishwa tena na kurejeshwa kama zamani


Kama Yanga itatinga fainali, itakuwa na mechi mbili za kusaka ubingwa wa Shirikisho Afrika dhidi ya Asec Mimosas au USM AlgerDownload our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz