Droo Super League kufanyika Tanzania - EDUSPORTSTZ

Latest

Droo Super League kufanyika Tanzania

Ofa ya Bando la Internet wiki BURE Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

 Kulingana na Mwandishi wa habari kutoka Misri Mohammed Saied, michuano ya CAF Africa Super league itafanyika mwezi Oktoba 2023 ambapo droo ya mechi za awali itapangwa Julai 2023 nchini Tanzania


Kwa mujibu wa Saied, timu zitawekwa kwenye makundi mawili ambapo timu ya kundi moja itapangwa na timu ya kundi la pili ambapo zitacheza mechi mbili


Timu 8 zitakazoshiriki Super League hazitaanzia mechi za awali za michuano ya CAF (Champions League, Confederation Cup) msimu ujao bali wataanzia mzunguko wa pili


Michuano inatarajiwa kuanza katikati ya mwezi Oktoba mpaka mwishoni mwa Novemba 2023Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz