CAF yatangaza Mwamuzi USM Alger vs Yanga - EDUSPORTSTZ

Latest

CAF yatangaza Mwamuzi USM Alger vs Yanga

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

 

 Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) Limemtangaza Mwamuzi Dahane Beida kutoka Mauritania Kuwa ndiye atakayechhezesha mchezo wa pili wa fainali ya Kombe la Shirikisho barani Afrika kati ya USM Alger dhidi ya Yanga SC


Mchezo huo Utachezwa Juni 03 Uwanja wa Julliet 5, Jijini Algers nchini Algeria


Dahane Beida atasaidiwa na Jarson Dos Santos Kutoka Angola na Arsenio Marngol kutoka MsumbijiDownload our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz