Aziz KI ashinda bao Bora la wiki Nusu Fainali CAFCC - EDUSPORTSTZ

Latest

Aziz KI ashinda bao Bora la wiki Nusu Fainali CAFCC

Ofa ya Bando la Internet wiki BURE Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

 Bao la Kiungo wa Yanga SC Stephanie Aziz Ki alilofunga dhidi ya Marumo Gallants ya Afrika Kusini kwenye mchezo wa mkondo wa kwanza wa nusu fainali ya kombe la Shirikisho Afrika katika dimba la Benjamin Mkapa mnamo Mei 10, 2023 limechaguliwa kuwa goli bora la wiki la michuano ya kombe la Shirikisho Afrika.


Bao la Kiungo wa Yanga SC Stephanie Aziz Ki alilofunga dhidi ya Marumo Gallants ya Afrika Kusini kwenye mchezo wa mkondo wa kwanza wa nusu fainali ya kombe la Shirikisho Afrika katika dimba la Benjamin Mkapa mnamo Mei 10, 2023 limechaguliwa kuwa goli bora la wiki la michuano ya kombe la Shirikisho Afrika.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz