Wydad Athletic waulalamikia uwanja walio pewa na Simba kufanyia mazoezi - EDUSPORTSTZ

Latest

Wydad Athletic waulalamikia uwanja walio pewa na Simba kufanyia mazoezi

Ofa ya Bando la Internet wiki BURE Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 Timu ya Wydad Athletic club itakayomenyana na Simba SC siku ya jumamosi imelalamika kupewa Uwanja Mbovu na Wenyeji wao Simba Kwa ajili ya Kufanya mazoezi


Wydad Wamesema Uwanja wa Gymkhana Waliopewa ni mbovu hauna hadhi na utasababisha wachezaji wao Kupata majeraha.


Wydad wanajiandaa kwa mchezo wa hatua ya kwanza ya mchezo wa Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika April 22.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz