Wachezaji wanao ongoza Kwa kupiga hatrick ligi kuu Tanzania bara - EDUSPORTSTZ

Latest

Wachezaji wanao ongoza Kwa kupiga hatrick ligi kuu Tanzania bara

Kupata Kifurushi cha bure Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 Wakati Ligi Kuu Tanzania Bara ikiingia mzunguko wa 27, Yanga waendelea kujichimbia kileleni wakiusogelea Ubingwa kwa mara ya pili mfululizo wakiwa na alama 68 wakimuacha Simba nafasi ya pili wakiwa na alama 60.


Fiston Kalala Mayele ndio kinara wa upachikaji mabao akiwa na mabao 16 na kuifikia rekodi yake ya mabao ya msimu uliopita.


Tayari kumefungwa Hat-Trick 7 mpaka kufikia hatua hii huku Simba na Yanga wachezaji wake wakitawala cheti hiyo.


Hii ndio Orodha ya wafungaji wa Hat-Trick msimu huu


Fiston Mayele vs Singida BS


John Bocco vs Ruvu


John Bocco vs Prisons


Said Ntibazonkiza vs Prisons


Ibrahim Mkoko vs KMC


Jean Baleke vs Mtibwa


AZIZ KI vs Kagera SugarDownload our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz