Wachezaji waliowahi kuifunga Hat-Trick Real Madrid - EDUSPORTSTZ

Latest

Wachezaji waliowahi kuifunga Hat-Trick Real Madrid

Ofa ya Bando la Internet wiki BURE Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

 Wakati Juzi Real Madrid wakipokea Kichapo cha magoli 4-2 kutoka kwa Girona mchezo wa Ligi Kuu Hispania Laliga.


Taty Castellanos alitupia magoli yote manne ya Girona katika ushindi huo mbele ya Mabingwa watetezi wa Laliga.


Mabao hayo ya Castellanos yanamuingiza katika Orodha ya wachezaji Sita waliowahi kufunga Hat Trick dhidi ya Real Madrid.


Wachezaji wa mwisho waliofunga hat-trick dhidi ya Real Madrid kwenye La Liga:


Lionel Messi (Barcalona) mwaka 2007


Pandiani (Espanyol) mwaka wa 2007


Xabi Prieto (Real Sociedad) mwaka wa 2013


Lionel Messi (Barcalona) mwaka wa 2014

Luis Suárez (Barcalona) mwaka wa 2018


Carlos Soler (Valencia) mnamo 2020


Taty Castellanos (Girona) mnamo 2023Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz