Timu itakayocheza na Yanga robo fainali Confederation CAF 2023 hii hapa - EDUSPORTSTZ

Latest

Timu itakayocheza na Yanga robo fainali Confederation CAF 2023 hii hapa

Kuingiza pesa Mtandaoni bure Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

 Droo ya robo fainali kombe la Shirikisho Barani Afrika imefanyika leo huko Misri ambapo kwa mara nyingine, Yanga imepangwa kuchuana na Rivers United ya Nigeria


Ni hawa hawa Rivers United ambao msimu uliopita waliiondosha Yanga kwenye hatua ya awali michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika


Hii ni nafasi kwa Yanga kulipa kisasi,mechi ya kwanza robo fainali itapigwa Nigeria na mechi ya pili kupigwa uwanja wa Benjamin Mkapa


Aidha kama Yanga itatinga nusu fainali, katika hatua hiyo itachuana na mshindi wa mchezo kati ya Pyramids dhidi ya Malumo Galants


RATIBA KAMILI


Pyramids Fc vs Malumo Galants - QF1


US Monastir vs ASEC Mimosas - QF2


USM Alger vs AS FAR Rabat - QF3


Rivers United vs Yanga - QF4


NUSU FAINALI


QF4 vs QF1 - SF1


QF2 vs QF3 - SF2


FAINALI


SF1 vs SF2Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz